エピソード

  • Namna ya kuingia kwenye Tech 2023
    2022/12/24

    Story ya Tech bro na Tech sis tumezichoka sasa , na sisi tunataka tuwe Matech bro na Tech sis 



    Kwenye Epsode hii nimeelezea kwa undani namna mtu anaweza kuingia kwenye Tech 

    続きを読む 一部表示
    10 分
  • Namna Creators wanavyoingiza hela kwenye creator Economy
    2022/12/24

    Creators na Creator Economy imefanya mengi makubwa ulimwenguni kwa huu mwaka .Tanzania pekee  trends nyingi za burudani huu mwaka imeanzia kwenye Mange App pia kombe la dunia huu mwaka lilipambwa zaidi na creators 


    Mbanga ya Salt Bae kwenye Fainali za kombe la dunia , Deals za khaby lame na Gheto kids zinatosha kukupa ukubwa wa creator economy 



    2023 tunatarajia mengi sana kwenye creator Economy 

    続きを読む 一部表示
    10 分
  • Makosa Wanayofanya Freelancer Wapya
    2022/12/02

    Moja ya suala linalowatesa  freelancer wengi wapya  ni kukosa kazi kwenye majukwaa ya Freelancing .Binafsi ninaona freelancer wengi wanakosa kazi kutokana na makosa madogo madogo wanayoyafanya aidha kwa kufahamu ama kutofahamu 


    Epsode hii nimegusia Makosa mbalimbali ambayo freelancer wanayafanya kwenye majukwaa ya freelancing na namna wanaepuka nayo .


    Sikiliza na usisahau kunitumia maoni yako

    続きを読む 一部表示
    12 分