『Namna Creators wanavyoingiza hela kwenye creator Economy』のカバーアート

Namna Creators wanavyoingiza hela kwenye creator Economy

Namna Creators wanavyoingiza hela kwenye creator Economy

無料で聴く

ポッドキャストの詳細を見る

このコンテンツについて

Creators na Creator Economy imefanya mengi makubwa ulimwenguni kwa huu mwaka .Tanzania pekee  trends nyingi za burudani huu mwaka imeanzia kwenye Mange App pia kombe la dunia huu mwaka lilipambwa zaidi na creators 


Mbanga ya Salt Bae kwenye Fainali za kombe la dunia , Deals za khaby lame na Gheto kids zinatosha kukupa ukubwa wa creator economy 



2023 tunatarajia mengi sana kwenye creator Economy 

Namna Creators wanavyoingiza hela kwenye creator Economyに寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。