エピソード

  • MAFANIKIO YAMEMEZWA NA HOFU
    2024/12/19

    Mafanikio Yamemezwa na Hofu | Jifunze jinsi hofu inavyoweza kuwa kikwazo kikubwa kwa mafanikio yako na jinsi ya kuishinda

    続きを読む 一部表示
    29 分
  • MAFANIKIO NI SEASONAL
    2024/12/19

    Kila msimu maishani una fursa na changamoto zake, hasa katika biashara. Katika video hii, tunazungumzia jinsi ya kutambua msimu wako wa sasa na kufanya maamuzi yanayokubaliana na wakati huo. Usipoteze mwelekeo tambua msimu wako na endelea mbele kwa hekima na ujasiri. Chukua hatua

    続きを読む 一部表示
    41 分
  • INTUITION [MACHALE] NI MSINGI WA MAFANIKIO
    2024/12/19

    katika episode hii utajifunza umuhimu wa kutumia hisia za ndani (machale) (instinct) kama mwongozo wa kufanikisha malengo yako maishani na kwenye biashara.

    続きを読む 一部表示
    30 分
  • MAFANIKIO YANATOKANA NA MAAMUZI MAZURI YA SASA
    2024/12/19

    #Mafanikio #Maamuzi #misanamanyama

    https://youtu.be/gwtqrmiPZGU⁠

    Mara nyingi tumejikuta tukifanya maamuzi ili kuziba mianya ya hofu ya baadae, Maamuzi ambayo yamepelekea wengi wetu kujikuta katika mifumo mibaya ya maisha kama madeni yaliyokithiri na kukosa utulivu. Katika hii EPISODE utajifunza namna ya kufanya maamuzi mazuri na sahihi yanayoweza kukuletea mafanikio bila kuwa na hofu.

    続きを読む 一部表示
    24 分