• SURA YA 5-1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16)

  • 2023/01/15
  • 再生時間: 43 分
  • ポッドキャスト

SURA YA 5-1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16)

  • サマリー

  • Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 2:20, Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai;wala si mimi tena,bali Kristo yu hai ndani yangu. ikiwa tunaamini katika Neno hili, ya kwamba tumesulubiwa na Kristo na Yeye anaishi ndani yetu, basi tumekwisha kufa katika yeye, na Bwana wetu anakaa na anaishi ndani yetu. Kristo alichukua dhambi zote tunazotenda hapa duniani, kutoka katika dhambi zetu za zamani hadi dhambi hizi za sasa na za baadaye, kupitia Ubatizo aliopokea kutoka kwa Yohana Mbatizaji, na alikufa Msalabani na kufufuka kutoka kwa wafu tena. Sasa, kama Bwana wetu anaishi ndani yetu, kwa njia hiyo ametuwezesha kuimba zabuni na raha zake kila wakati. Bwana wetu ameishi mioyoni mwetu kama Roho Mtakatifu, na anatuongoza sote.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    続きを読む 一部表示

あらすじ・解説

Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 2:20, Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai;wala si mimi tena,bali Kristo yu hai ndani yangu. ikiwa tunaamini katika Neno hili, ya kwamba tumesulubiwa na Kristo na Yeye anaishi ndani yetu, basi tumekwisha kufa katika yeye, na Bwana wetu anakaa na anaishi ndani yetu. Kristo alichukua dhambi zote tunazotenda hapa duniani, kutoka katika dhambi zetu za zamani hadi dhambi hizi za sasa na za baadaye, kupitia Ubatizo aliopokea kutoka kwa Yohana Mbatizaji, na alikufa Msalabani na kufufuka kutoka kwa wafu tena. Sasa, kama Bwana wetu anaishi ndani yetu, kwa njia hiyo ametuwezesha kuimba zabuni na raha zake kila wakati. Bwana wetu ameishi mioyoni mwetu kama Roho Mtakatifu, na anatuongoza sote.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

SURA YA 5-1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。