• SURA YA 1-4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18)

  • 2023/01/13
  • 再生時間: 18 分
  • ポッドキャスト

SURA YA 1-4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18)

  • サマリー

  • Imeandikwa “Mwenye haki ataishi kwa imani” Je, tunaishi kwa imani au la? Njia pekee ya mwenye haki kuishi ni kwa imani. Imani ndiyo imwezeshayo mwenye haki kuishi. Twaweza kuishi na kuendelea na mambo yote pale tu, tutakapo mwamini Mungu. Wenye haki tu ndio wawezao kuishi kwa imani. Neno “tu” maana yake hakuna zaidi ya yeyote awezaye kuishi kwa imani ila mwenye haki. Sasa, vipi kuhusu wenye dhambi? Wenye dhamba kamwe; hawatoweza kuishi kwa imani Je, wewe unaishi kwa imani? Inatulazimu kuishi kwa imani.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    続きを読む 一部表示

あらすじ・解説

Imeandikwa “Mwenye haki ataishi kwa imani” Je, tunaishi kwa imani au la? Njia pekee ya mwenye haki kuishi ni kwa imani. Imani ndiyo imwezeshayo mwenye haki kuishi. Twaweza kuishi na kuendelea na mambo yote pale tu, tutakapo mwamini Mungu. Wenye haki tu ndio wawezao kuishi kwa imani. Neno “tu” maana yake hakuna zaidi ya yeyote awezaye kuishi kwa imani ila mwenye haki. Sasa, vipi kuhusu wenye dhambi? Wenye dhamba kamwe; hawatoweza kuishi kwa imani Je, wewe unaishi kwa imani? Inatulazimu kuishi kwa imani.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

SURA YA 1-4. Mwenye haki huishi kwa Imani (Warumi 1:17-18)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。