エピソード

  • Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21"
    2025/01/10
    Mgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.
    続きを読む 一部表示
    7 分
  • Taarifa ya Habari 10 Januari 2025
    2025/01/10
    Uchaguzi mkuu ujao wa shirikisho una chukua mkondo wakuwa shindano la gharama ya maisha ila, hakuna chama kikubwa ambacho kime toa ahadi kubwa za matumizi kwa ajili yakuwavutia wapiga kura.
    続きを読む 一部表示
    18 分
  • Wakenya wafunguka kuhusu visa vya utekaji nyara
    2025/01/09
    Vyombo vya usalama nchini Kenya vina endelea kushtumiwa kwa visa vya utekaji nyara.
    続きを読む 一部表示
    31 分
  • Taarifa ya Habari 7 Januari 2025
    2025/01/07
    Wakaaji wa Queensland wame hamasishwa wachukue chanjo zinazo tolewa bure, jimbo hilo likitabiri msimu mubaya wa mafua uko njiani.
    続きを読む 一部表示
    17 分
  • Mwongozo rahisi waku kusaidia kufurahia msimu wa Cricket nchini Australia
    2025/01/07
    Cricket ni mchezo maarufu sana Australia na, kwa muda mrefu mchezo huo umekuwa sehemu ya utamaduni wa Australia haswa wakati wa miezi ya majira ya joto.
    続きを読む 一部表示
    12 分
  • Taarifa ya Habari 3 Januari 2025
    2025/01/03
    Kufanya mfumo wa afya upatikane kwa bei nafuu itakuwa sehemu kubwa ya kampeni ya uchaguzi mkuu ya chama cha Labor, waziri wa afya washirikisho aki ahidi kuimarisha Medicare miongoni mwa hatua zingine kabla ya mwanzo wa kampeni.
    続きを読む 一部表示
    19 分
  • Je uchaguzi wa uongozi uta sababisha mpasuko ndani ya CHADEMA
    2025/01/03
    Wanachama wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wanasalia na takriban wiki mbili kuingia debeni kumchagua kiongozi mpya.
    続きを読む 一部表示
    8 分
  • Taarifa ya Habari 31 Disemba 2024
    2024/12/31
    Kikundi cha magari cha N-R-M-A kina omba tume ya ushindani na watumiaji ya Australia, ifanye uchunguzi wa haraka kwa madhara mabaya ya mizunguko ya bei bei ya petroli katika miji mikubwa ya Australia.
    続きを読む 一部表示
    21 分