エピソード

  • Fahamu vifurushi vipya vya NHIF.
    2024/12/27

    Karibu katika Kipindi cha Elimu Jamii Kutoka Studio za Radio Maria leo tupo na Daktari Raphael Malaba Meneja wa NHIF Wilaya ya Kinondoni akizungumzia Juu ya Maboresho ya Mifumo mipya ya NHIF.

    L'articolo Fahamu vifurushi vipya vya NHIF. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    46 分
  • Fahamu maana ya Jumuiya ndogo ndogo za Kikristo.
    2024/12/27

    Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Jackob Venusto Mkandawile Kutokaa Parokia ya Yesu Kristo Mfalme, Jimbo Katoliki Iringa nikijibu swali la Msikilizaji linalosema maana ya Jumuiya ndogo ndogo za Kikristo na lengo la kuanzishwa kwake?

    L'articolo Fahamu maana ya Jumuiya ndogo ndogo za Kikristo. proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    28 分
  • Nini maana ya Krismasi?
    2024/12/27

    Ungana nami Judith Mpalanzi, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugezi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa, akielezea ujumbe wa Krismasi.

    L'articolo Nini maana ya Krismasi? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    53 分
  • Cheo cha Kadinari kina maana gani?
    2024/12/27

    Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Benedict Lazaro Luvanga Kutoka Parokia ya Nyabula Jimbo Katoliki Iringa, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Cheo cha Kadinari kimetoka wapi na kina maana gani?

    L'articolo Cheo cha Kadinari kina maana gani? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    19 分
  • Ni, kwa namna gani Mtu anajishambulia mwenyewe?
    2024/12/24

    Karibu uungane nami Judith Mpalanzi, katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Leo nipo na Padre Titus Amigu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akielezea Umuhimu wa Sala ya Nasadiki katika maisha ya Mkristo.

    L'articolo Ni, kwa namna gani Mtu anajishambulia mwenyewe? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    49 分
  • Fahamu fundisho la Bikira Maria Mama wa Mungu?
    2024/12/24

    ungana nami Martin Joseph, katika Kipindi cha Tafakari Nasi leo tupo na Padre Gidion Kitamboya, Kutoka Parokia ya Mtakatifu Luka Mwinjili Hemba, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma akituongoza kujifunza Bikira Maria Mtakatifu Mama wa Mungu.

    L'articolo Fahamu fundisho la Bikira Maria Mama wa Mungu? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    29 分
  • Je, wafahamu sababu zinazosababisha Wakristo kutokupokea Sakramenti ya Upatanisho siku ya Dominika?
    2024/12/24

    Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Peter Peter, Kutoka Parokia ya Mwenywe Heri Vincenza Maria Poloni- Ntyuka Jimbo Kuu Katoliki La Dodoma, nikijiubu swali la Msikilizaji linalosema Je, wafahamu sababu zinazosababisha Wakristo kutokupokea Sakramenti ya Upatanisho siku ya Dominika?

    L'articolo Je, wafahamu sababu zinazosababisha Wakristo kutokupokea Sakramenti ya Upatanisho siku ya Dominika? proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    25 分
  • Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [Sehemu ya sabini na sita)
    2024/12/23

    Karibu ungane nami Mtangazaji wako Martin Joseph, katika kipindi cha Amka na Mama ambapo ni mkusanyiko wa nyimbo mbalimbali zikituongoza kuanza siku yetu mpya, tumuimbie Bwana katika roho na kweli.

    L'articolo Amka na Mama kipindi cha kawaida cha mwaka [Sehemu ya sabini na sita) proviene da Radio Maria.

    続きを読む 一部表示
    56 分