-
サマリー
あらすじ・解説
#Mafanikio #Maamuzi #misanamanyama
https://youtu.be/gwtqrmiPZGU
Mara nyingi tumejikuta tukifanya maamuzi ili kuziba mianya ya hofu ya baadae, Maamuzi ambayo yamepelekea wengi wetu kujikuta katika mifumo mibaya ya maisha kama madeni yaliyokithiri na kukosa utulivu. Katika hii EPISODE utajifunza namna ya kufanya maamuzi mazuri na sahihi yanayoweza kukuletea mafanikio bila kuwa na hofu.