
How M-Wekeza is Reshaping Investment for Everyday Tanzanians
カートのアイテムが多すぎます
カートに追加できませんでした。
ウィッシュリストに追加できませんでした。
ほしい物リストの削除に失敗しました。
ポッドキャストのフォローに失敗しました
ポッドキャストのフォロー解除に失敗しました
-
ナレーター:
-
著者:
このコンテンツについて
Je, unatafuta njia salama, rahisi na isiyo na presha ya kuwekeza huku ukiendelea na maisha yako ya kila siku? Katika kipindi hiki, tunachambua kwa undani M-Wekeza; jukwaa la uwekezaji lililoanzishwa kwa ushirikiano kati ya Vodacom na Sanlam, linaloweka nguvu ya uwekezaji mikononi mwa Mtanzania wa kawaida.
Mgeni wetu Jacqueline Temu, mshauri wa fedha na mtaalamu wa kibenki, anafafanua:
- Jinsi M-Wekeza inavyofanya kazi kupitia M-Pesa
- Unaweza kuanza kuwekeza kwa TZS 1,000 tu – ndiyo, elfu moja!
- Faida za hadi 13% zinazowekezwa kwa njia ya riba inayozunguka kila mwezi
- Usalama wa uwekezaji wako kupitia usimamizi wa CMSA na uthibitisho wa alama ya kidole
- Je, unaweza kuitumia kama uthibitisho wa fedha kwa ajili ya visa? Au kama dhamana ya mkopo?
- Tofauti kati ya M-Wekeza na bidhaa zingine za kifedha nchini
Tutazungumzia pia masuala ya hatari, upatikanaji wa taarifa za utendaji, na kile ambacho bado kinaboreshwa.
Ikiwa umekuwa ukihisi kuwa uwekezaji ni wa matajiri tu au ni mgumu kuelewa, basi kipindi hiki kitakufungua macho. M-Wekeza ni kwa ajili ya sisi sote; wanafunzi, wafanyakazi, mama lishe, wajasiriamali na kila Mtanzania anayetaka kuanza hatua ya kwanza ya kifedha.
🎙️ Sikiliza sasa kwenye Spotify na usisahau kushiriki na wengine!
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.