• 5. Maana ya Kiroho ya Vikuku vya Fedha Vilivyotumika Katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-30)

  • 2023/01/24
  • 再生時間: 1 時間 7 分
  • ポッドキャスト

5. Maana ya Kiroho ya Vikuku vya Fedha Vilivyotumika Katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-30)

  • サマリー

  • Mbao zote za Hema Takatifu la Kukutania mahali ambapo Mungu alikaa zilikuwa zimefunikwa kwa dhahabu. Mungu alimwambia Musa kutengeneza vikuku vya fedha ili kuushikiza ubao uweze uweze kusimama wima. Maana ya kiroho ya kuweka hivi vikuku vya fedha chini ya kila ubao ni kama ifuatayo. Katika Biblia, dhahabu ina maanisha ni imani ambayo haiwezi kubadilika kutokana na wakati. Kule kusema kwamba hivi vikuku vya kushikiza viliwekwa dhini ya ubato uliokuwa umefunikwa kwa dhahabu maana yake ni kwamba Mungu ametupatia karama mbili ambazo zinatuhakikishia wokovu wetu. Kwa maneno mengine, ina maanisha kwamba Yesu ameukamilisha wokovu wetu toka katika dhambi kwa kubatizwa na kuimwaga damu yake.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    続きを読む 一部表示

あらすじ・解説

Mbao zote za Hema Takatifu la Kukutania mahali ambapo Mungu alikaa zilikuwa zimefunikwa kwa dhahabu. Mungu alimwambia Musa kutengeneza vikuku vya fedha ili kuushikiza ubao uweze uweze kusimama wima. Maana ya kiroho ya kuweka hivi vikuku vya fedha chini ya kila ubao ni kama ifuatayo. Katika Biblia, dhahabu ina maanisha ni imani ambayo haiwezi kubadilika kutokana na wakati. Kule kusema kwamba hivi vikuku vya kushikiza viliwekwa dhini ya ubato uliokuwa umefunikwa kwa dhahabu maana yake ni kwamba Mungu ametupatia karama mbili ambazo zinatuhakikishia wokovu wetu. Kwa maneno mengine, ina maanisha kwamba Yesu ameukamilisha wokovu wetu toka katika dhambi kwa kubatizwa na kuimwaga damu yake.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

5. Maana ya Kiroho ya Vikuku vya Fedha Vilivyotumika Katika Hema Takatifu la Kukutania (Kutoka 26:15-30)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。