• 5. Jinsi Ambavyo Waisraeli Walianza Kutoa Sadaka Katika Hema Takatifu la Kukutania: Msingi wa Kihistoria (Mwanzo 15:1-21)

  • 2023/01/14
  • 再生時間: 20 分
  • ポッドキャスト

5. Jinsi Ambavyo Waisraeli Walianza Kutoa Sadaka Katika Hema Takatifu la Kukutania: Msingi wa Kihistoria (Mwanzo 15:1-21)

  • サマリー

  • Ninaiheshimu na kuitamani sana imani ya Ibrahimu kama inavyoonyeshwa katika Biblia. Tunapoiangalia imani ya Ibrahimu, tunaweza kuona mateso na juhudi ya imani yake ambayo kwa hiyo alimfuata Yehova, na kwa jinsi hiyo hatuwezi kufanya lolote bali ni kuitamani imani ya Ibrahimu. Mungu alimbariki sana Ibrahimu, kama inavyoonyeshwa katika Mwanzo 12:3, ambapo Mungu alisema, “Nitawabariki wote watakaokubariki, Na nitamlaani yeyote atakayekulaani; na katika wewe jamaa wote wa dunia watabarikiwa.” Baraka hizi nyingi zinaonekana pia katika Mwanzo 15:1, ambapo Mungu alitamka kwa Ibrahimu kuwa “Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana”. Mungu alikuwa na upendo maalum kwa Ibrahimu kiasi kwamba Mungu alijiona kuwa ni Mungu wa Ibrahimu.

    https://www.bjnewlife.org/
    https://youtube.com/@TheNewLifeMission
    https://www.facebook.com/shin.john.35

    続きを読む 一部表示

あらすじ・解説

Ninaiheshimu na kuitamani sana imani ya Ibrahimu kama inavyoonyeshwa katika Biblia. Tunapoiangalia imani ya Ibrahimu, tunaweza kuona mateso na juhudi ya imani yake ambayo kwa hiyo alimfuata Yehova, na kwa jinsi hiyo hatuwezi kufanya lolote bali ni kuitamani imani ya Ibrahimu. Mungu alimbariki sana Ibrahimu, kama inavyoonyeshwa katika Mwanzo 12:3, ambapo Mungu alisema, “Nitawabariki wote watakaokubariki, Na nitamlaani yeyote atakayekulaani; na katika wewe jamaa wote wa dunia watabarikiwa.” Baraka hizi nyingi zinaonekana pia katika Mwanzo 15:1, ambapo Mungu alitamka kwa Ibrahimu kuwa “Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana”. Mungu alikuwa na upendo maalum kwa Ibrahimu kiasi kwamba Mungu alijiona kuwa ni Mungu wa Ibrahimu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

5. Jinsi Ambavyo Waisraeli Walianza Kutoa Sadaka Katika Hema Takatifu la Kukutania: Msingi wa Kihistoria (Mwanzo 15:1-21)に寄せられたリスナーの声

カスタマーレビュー:以下のタブを選択することで、他のサイトのレビューをご覧になれます。