-
4. Sababu Iliyomfanya Mungu Amuite Musa Kwenda Katika Mlima Sinai (Kutoka 19:1-6)
- 2023/01/14
- 再生時間: 33 分
- ポッドキャスト
-
サマリー
あらすじ・解説
Kifungu kikuu cha maandiko kinatoka katika Kutoka 19:1-6. Japokuwa kifungu hiki cha maandiko si kirefu, nina mambo mengi ya kuzungumza kuhusu kifungu hiki. Kutoka katika kifungu hiki, nitapenda pia kuzungumzia juu ya ukweli uliofunuliwa katika sura ya 19 na ile ya 25 katika kitabu cha Kutoka. Ilikuwa imeshapita miezi mitatu tangu watu wa Israeli walipotoroka kutoka Misri na kufika katika jangwa la Sinai. Mungu aliwafanya waweke kambi zao mbele ya Mlima Sinai, na kisha akamwita Musa kwenda juu mlimani.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35